Kama kichwa cha habari kinavyojieleza , kwa wiki kadhaa nimekuwa na tatizo la mwili kupata joto kali, naweza nikapata joto kwa siku nzima kesho hali ikarudi kama mwanzo halafu ikajirudia tena.
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app