Msaada mwenzenu nakonda

Pole sana..hofu ni ugonjwa mbaya sana usiogope alikuwa mkavu ndio maana ukachubuka wala hajakuambukiza gonjwa lolote
 
Kachek afya yako acha kulia lia
 
Mkuu mchubuko ni kwasababu humuandai mwenzio kwahiyo mashine inashindwa kuteleza na. yeye anavumilia kwasababu anataka kurudisha penzi .

Kuhusu H I V kapime kwanza ndo utajua but all and all kuugua h I v sio mwisho wa maisha
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] samahani nimeshindwa kuvumilia! yaan mchubuko ndo unahisi tayar vieus ndo vishaanza kutafuna usiku mmoja?? subiri mwezi hadi 2 ukapime


hahaaaaaaaaaaaaaaaa mkuu umeua,unajua kuna ugonjwa sijui jina lake,mtu anahisi anaumwa ugonjwa Fulani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…