Msaada; mwenye ukoka mwembamba sana

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,020
Habari za mihangaiko wadau,

Ninaomba msaada kwa yeyote mwenye ukoka mwembamba sana kwa hapa Dar anipatie mbegu nami nikapande kwenye eneo langu,

Ninajua kwamba unauzwa kwa vijana wa garden sehemu mbalimbali hapa mjini,lakini hali yangu ya kiuchumi kwa sasa sio rafiki sana kiasi cha mimi kumudu kuununua. Nitaufwata mwenyewe sehemu yoyote hapa Dar.

Namba zangu ni 0621003284

Wasalaam.
 
Ninao ukoka mwembamba,sasa sijui utataka ukatiwe au utakata mwenyewe,kwani ni mwembamba sana.
 
Ungekua Kilimanjaro ningekuagizia mahali ukauchukue. Bahati mbaya wote tupo Dar es Salaam!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…