Msaada: Mwenye taarifa za Betha health college

MHIKA

Member
Joined
May 13, 2015
Posts
18
Reaction score
4
Habari zenu wanaJamiiForums
Naomba msaada kwa anae kijua chuo cha BESHA HELTH COLLEGE kilichopo Tanga, Je kimesajiliwa ? Msaada tafadhali
 
habari zenu wanajamii forum
naomba msaada kwaanae kijua chuo cha BESHA HELTH COLLEGE kilichopo tanga je kimesajiliwa ? msaada tafadhali

mimi sikushaur kwenda hiko chuo kwa sababu zifuatazo: USAJILI:besha kilipewa usajil wa muda ambao uliisha tangu 2013 mwez wa nane na hawakufuatilia usajil wa moja kw moja. UTAWALA:besha hakuna utawala mzuri coz kinaendeshwa na mwanamama mmoja asiyemuelewa ambaye n mke wa mwenye chuo so huyo maza nd anayeharibu hiko chuo na mumewe(mwenye chuo) ni dhaifu sana kw mkewe hivyo anashndw kumwmbia. Actually sikushaur kwenda besha,kwanza kwnn umependekeza besha??kuwa makin kijana usijejutia muda wako na pesa zako.
 
Hv ukimaliza course ya community health unaweza ukaendelea na course ipi kuna mshikaji ameniuliza nimeona nililete humu
 
kimesajiliwa na Nacte ndo wame allocate wanafunzi hapo Besha.....acha kupotosha wewe ...kingekuwa hakijasajiliwa Nacte wasingepeleka wanafunz hapo ...

sent from Sodoka web....
 
labda uende Kenya lakn hapa Tanzania hakuna mwendelezo unaishia apo apo
 
kimesajiliwa na Nacte ndo wame allocate wanafunzi hapo Besha.....acha kupotosha wewe ...kingekuwa hakijasajiliwa Nacte wasingepeleka wanafunz hapo ...

sent from Sodoka web....
Ndyo chuo ni kizuri sana tuuu hicho sisi tunafuata elimu iliyo bora chuo kipo vizuri wewe besha college of health kipo bomba kile
 
Now wameweka mambo sawa kwahyo jiungeni tuuu msife moyo ndo tatizo la wabongo hilo ila chuo ni kizuri sana
 
Back
Top Bottom