Tumia GNS3,Binafsi nimekuwa nikiitumia sana hii simulator kwa ajili ya MPLS,ila tu kwa OS nyingi wanatumia Tags badala ya Label,ninatumia version 12.4 lakini bado wanatumia Tags sio Label,ila hakuna tofauti ukizingatia TDP na LDP zinafanana tu ukiondoa tofauti ya majina so kwa MPLS tumia GNS3 nina uhakika kwa 100% ni suluhisho la tatizo.
Kwa Msaada wa mambo mbalimbali ya ICT tembelea Afrot Forum-ICT Kijiji