mkataba unasemaje? mkataba ndiyo mwongozo.
kama amekomaa kikichwa ngumu tu na wewe kuwa kichwa mbovu, mwambie hiyo laki na nusu hauchukui, tena mwambie umeghairi kuhama asubiri miezi yako iishe, usimwambie kiupole mwambie kwa ukali, kama ana akili timamu atakurudishia pesa ya miezi sahihi iliyobaki, kama akiendelea kujitoa akili wewe usichukue hiyo pesa, hamisha vitu vyako ndani acha hata neti tu kisha ufunge mlango, mwambie umeacha vitu vyako pango lako likiisha utakwenda kuvichukua, nzuri zaidi mpeleke mahakamani.