[emoji444]Shime waafrikaaa....wakati umefikaaa...tufanye juhudi zetu kusaidia kukomeshaa...mauaji ya wenyewe kwa wenyewe waafrikaaeee mbona twajimalizaa[emoji444]
Chorus [emoji445]hakuna furaha,nisikiapoooo na kuonaaa..aaa....nyumba ya jiraniii kunawaka motoooo....baaliii ni huzuni pekeee inatawala kila pembe ya afrikaaaa[emoji445]
naweza kuwa nimekosea[emoji115] maneno machache hapo