Msaada mwenye Apple ID

Echolima

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2007
Posts
3,824
Reaction score
2,079
Mimi nina iPhone 3G ios 4.2.1 nahitataji kupata Free Application toka iTunes store,Namba mwenye Appl ID niitumie kupata Free Applications.naomba ani-PM
nitamjali kwa pesa kidogo tutakavyoelewana naye natanguliza shukrani
 
Mi ninayo km unataka nikutengenezee i can do it
 
jaribu kusearch jinsi ya ku create acc bila credit card. mbona simple tu,mbona simple tu jamani.
 
Mimi nina iPhone 3G ios 4.2.1 nahitataji kupata Free Application toka iTunes store,Namba mwenye Appl ID niitumie kupata Free Applications.naomba ani-PM
nitamjali kwa pesa kidogo tutakavyoelewana naye natanguliza shukrani

Kwanini utoe pesa while it is free?otherwise kama unataka paid applications.
Fungua itune store then click application yoyote(ya free) kama vile unataka kudownload itakwambia ingiza apple ID utaclick kwenye make new apple ID.fuata step zote vizuri hadi sehem ya malipo,kwenye list ya njia za malipo pembeni kabisa utaona 'NONE' chagua hiyo na endelea na steps nyingine.
Ukishindwa sema inakupa msg gani.
 
Thanks Osaba na wengine at last nimepata Apple ID bila shida mawazo yenu yamenisaidia na sasa Nina uwezo Wa kupata Application toka itune hasa hasa BIBLE.
Napenda kuwashukuru wote waliochangia.
 
Thanks Osaba na wengine at last nimepata Apple ID bila shida mawazo yenu yamenisaidia na sasa Nina uwezo Wa kupata Application toka itune hasa hasa BIBLE.
Napenda kuwashukuru wote waliochangia.

Poa poa mkuu
 

MSHANIHARIBIA DILI HAMJUI MJIN HAMNA MASHAMBA

  • :crazy:
 
noahism@icloud.com . Pasword ni PM nikutumie
Mimi nina iPhone 3G ios 4.2.1 nahitataji kupata Free Application toka iTunes store,Namba mwenye Appl ID niitumie kupata Free Applications.naomba ani-PM
nitamjali kwa pesa kidogo tutakavyoelewana naye natanguliza shukrani
 
Hapa si sehem ya kutafutia mashamba,hapa ni pa Great-thinkers tu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…