Mie nimenunua mwez wa nane boss ndogo ,wife akaona fursa ni kuuza ice cream ,sasa ukilaza mia unakuta zimeganda pengine 40 tu , nimeamua kununua bidhaa bora samsung freezer japo bei ni kubwa ila mkatab na nimekula waranty ya miaka 10 ,akati boss nilipata miaka miwili tu warant , nimeuza bei ya hasara nikanywa bia tu akuna ufanisi alaf nafasi ni ndogo sana ,havina raha kifupi