Wadau,
Nimenunua multimedia player moja hivi Woxter i-Cube 2400, 1TB. Hata bado kuitumia ishaanza maringo. Siwezi ku-access (au haipo? lakini physically ipo) HDD, hata niki-connect kwenye computer hali ni hiyohiyo. Nimewatembelea kwenye web yao ila hawanipi cha kufanya, na imenunuliwa Spain na huko sina mpango wa kwenda anytime around.
Nafanyaje?