Msaada: Mtu wa CBG anaweza kusoma medical lab?

Msaada: Mtu wa CBG anaweza kusoma medical lab?

Yawezekana hasa kwa vyuo vya private, ila kungekuwa na PHYSICS hapo ingekuwa uhakika ila usikate tamaa, si unajua Ndalichangu nae km ana mtoto wa mjomba ake tu na kasoma km wewe basi tamko litatolewa kuwa mnaruhusiwa medical lab bila kinyongo.
 
Back
Top Bottom