Msaada: Mtu aliyepata Divison 4 anaweza kusomea nini?

Msaada: Mtu aliyepata Divison 4 anaweza kusomea nini?

Mudiissa618

New Member
Joined
Jan 24, 2020
Posts
2
Reaction score
1
Eti samahani wadau, mtu akipata 4 ya 26 katika ya Civics - C, History - D, Kiswahili - C, Bios - D, English - C na Geography D, hapo anatakiwa aende chuo gani na kusomea nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom