Msaada: Mtoto wangu ananikimbia

huyo dogo atakuwa alikuwa anakupenda sana na hakutegemea such treatment from you ...... hapo atakuwa ameumia sana ,cha muhimu fanya kitu kusawazisha mambo kati yenu watoto husahau mapema sana.
 

Unamchapa mtoto mwenye umri wa mwaka 1 ya nini? Unafikiri anaelewa kwa nini anachapwa? Ujinga mkubwa sana na labda sasa umeona athari za kuwa mkatili.
 
Mtoto hachapwi .Sijawahi kuchapwa na wazazi wangu,stop abusing your own child .its a crime wewe ni baba ake ,alikuwa analia kudeka wewe ukamchapa .
 
mkuu ni firts born wako?
ulishajaribu kumshawishi mama yake atoe mimba yake?
of not sorry but if so pray hard Mungu ampe neema ya kukupenda.
na ww jenga mahusiano nae ya karibu, outing za michezo,cheza nae wekend sana act like a child
 
kuna zawadi nyingi sana za kitoto waweza mletea then atarudisha mapenzi kwako ila next tyme angalia siunajua ukiona mtoto mdo anakuchukia sio?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…