Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,723
- 7,794
Yaani nimeona huyu hahitaji ushauri bali makanyo.Bila Shaka huyo mtoto ni wa kiume, huwa wananyonya hao....halafu Baba Kama una wivu vile kila saa kidume kinaning'inia kwenye nyonyo ya nkeo🤣🤣🤣
Dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana na mabinti wa siku hizi ni hopeless kabisa especially eneo la uzazi. Kuna siku namsikia mdogo wangu (mtoto wa kike wa mama yangu mdogo) anaongea na mwenzake kwenye simu anamuomba ushauri huyo mwenzake juu ya mtoto kuwa na kwikwi na kucheua maziwa kama anatapika. Huyo mwenzake kwenye simu anamwambia achukue majani gani sijui amuogeshee mtoto kisha hiyo hali itaisha.
Ninasubiria wamalize kuongea nikaanza kumsema kwa uzembe wake wa kutokujifunza kuwa mtoto huwa anacheuwa na kupatwa na kwikwi kama matokeo ya uzembe wa mama yake kufeli kumuweka begani abeuwe baada ya kunyonyeshwa.
Siyo mtoto tu,hata anapokuwa na ujauzito wa mtoto wa kiume,kuamka usiku wa ma8 na kusaka chakula ni kawaida. Wakati mwingine hata ujauzito wa mtoto wa kike kuna baadhi nao ulazimika kuamka na kutafuta chakula usiku wa ma8 hasa kuanzia ujauzito wa miezi 7.Yapo maziwa lishe maalumu kwaajiri ya watoto ambao aidha mama amefariki au ana matatizo ya kiafya ambayo yatamfanya ashindwe kunyonyesha.
Sasa mkeo hana shida yoyote ni lishe tu hapo ndio anafeli. Mtoto wa kiume huwa ananyonya sana so sio mchezo mchezo kumkuza hadi atapoacha kunyonya.
Fanya hivi, mtengenezee uji wa lishe mkeo ili aweze kutengeneza maziwa mtoto anyonye hadi akinai. Huo uji uweke nafaka hizi. Mahindi lishe ukikosa hata mahindi ya kawaida yatafaa, ngano, ulezi, mihogo, soya maziwa au soya lishe, mchele, mbegu za maboga, karanga, ufuta na mtama.
Hizi nafaka utaweka kwa ratio tofauti sio kwa kiwango sawa. Yaani kwa mfano huwezi kuweka zote zikawa kilo moja moja bali utazingatia ujazo wa jumla unaotaka kutengeneza kisha utagawa ratio kulingana na kilo za jumla. Mfano utataka kutengeneza kilo 30 za unga kwajiri ya uji then unaweza fanya kilo tano ni za mahindi lishe, kilo 2 ni za mchele, tatu ni za ulezi, kg mbili ni za mbegu za maboga, 3 za ufuta, kuendelea. Mimi nimeweka rough estimate hapo ila upangiliaji wa nafaka na kiwango cha kilo zake unatakiwa kuzingatia kwanza nafaka inalenga nini maana uji wa lishe wa mwanamke anayenyonyesha ni tofauti na uji wa lishe wa mtoto na pia ni tofauti na uji wa lishe wa mwanaume anayejenga mwili wake.
Mtoto anahitaji sana nafaka zenye protein kama karanga, soya lishe, mahindi lishe, ngano, na hizo zingine zinawekwa kubalance tu lishe kumpa mahitaji mengine ya virutubisho na madini muhimu.
Ukija mwanamke anayenyonyesha, atahitaji zaidi ujazo wa nafaka zenye kiwango kikubwa cha material ya chokaa au wanga na vingine vya kuzalisha maziwa kama mchele, mahindi ya kawaida, mihogo, karanga, ufuta, mtama, na hizo nyingine zinamuongezea zaidi nguvu ya mwili katika kuhimili mikiki wakati ananyonyesha. Pia usisahau kumpa gemu la kutosha mwanamke anayenyonyesha akiwa na furaha bila stress maziwa huwa hadi yanachuruzika kama chemchem.
Kwa mwanaume lishe yake kwenye uji mahitaji yatakuwa tofauti sana atahitaji kulingana na ana malengo gani kama ni kutengeneza sana mbegu za kiume na kuongeza nguvu za kufanya mapenzi then lishe yake inataka ratio balance ya tofauti na kama anataka kujenga mwili kwa maana kunenepsha mwili kama yupo chini ya uzito unaotakiwa. Ila pia kama anataka kubalance vyote pia inawezakana.
Ila huu uji unakuwa mtamu zaidi ukipikwa kwa kuweka nazi badala ya maji wakati wa kuuchemsha nazi au maziwa ya ng'ombe ambayo hayajatiwa maji kwa maana kuchakachuliwa. Na ukishaweka mezani unaweza kuweka siagi ya karanga uji unakuwa ni mzito sana , mtamu sana , unashibisha sana na unafanya kazi yake ipasavyo.
Usi jaribu Mama ale chakula bora maziwa yata kuwa ya kutoshaVp kuhusu maziwa ya ngombe au hayafai pia
AsanteKiongozi
Inaelekea mama hana maziwa ya kutosha. Jitahidi mama ale vitu vya kumuongezea maziwa.
Kama bajeti haiko vizuri kununua hayo maziwa ya formula, Mwanzishie maziwa ya ngombe (una weka nusu maziwa na nusu maji) mf: unachanganya kikombe kimoja maziwa na kikombe kimoja maji ili yawe mepesi kabisa. Na ikiwezekana upate mtu mwenye ngombe kabisa ili akupe maziwa ya ngombe mmoja (asibadilishe badilishe ngombe) wafugaji wanajua ukimwambia maziwa ya mtoto
Akinywa hayo maziwa yaliyo changanywa na maji akiteremshia na ya mama atakuwa poa kabisa.....
AsanteMiezi mitatu inaweza kumsababishia matatizo mtoto, Maziwa ya ng'ombe kabla ya umri wa miezi 12 inaweza kumuweka mtoto hatarini mf.-kutokwa na damu ndani ya utumbo . Pia ina protini nyingi na madini ambayo ni ngumu kwa figo za mtoto mchanga kuchuja kwa urahisi na haina kiasi sahihi cha virutubisho kwa mtoto. At least miezi 9 kwa kufosi lakini sio salama risk ni kubwa
Asante sana kwa maelezo mazurYapo maziwa lishe maalumu kwaajiri ya watoto ambao aidha mama amefariki au ana matatizo ya kiafya ambayo yatamfanya ashindwe kunyonyesha.
Sasa mkeo hana shida yoyote ni lishe tu hapo ndio anafeli. Mtoto wa kiume huwa ananyonya sana so sio mchezo mchezo kumkuza hadi atapoacha kunyonya.
Fanya hivi, mtengenezee uji wa lishe mkeo ili aweze kutengeneza maziwa mtoto anyonye hadi akinai. Huo uji uweke nafaka hizi. Mahindi lishe ukikosa hata mahindi ya kawaida yatafaa, ngano, ulezi, mihogo, soya maziwa au soya lishe, mchele, mbegu za maboga, karanga, ufuta na mtama.
Hizi nafaka utaweka kwa ratio tofauti sio kwa kiwango sawa. Yaani kwa mfano huwezi kuweka zote zikawa kilo moja moja bali utazingatia ujazo wa jumla unaotaka kutengeneza kisha utagawa ratio kulingana na kilo za jumla. Mfano utataka kutengeneza kilo 30 za unga kwajiri ya uji then unaweza fanya kilo tano ni za mahindi lishe, kilo 2 ni za mchele, tatu ni za ulezi, kg mbili ni za mbegu za maboga, 3 za ufuta, kuendelea. Mimi nimeweka rough estimate hapo ila upangiliaji wa nafaka na kiwango cha kilo zake unatakiwa kuzingatia kwanza nafaka inalenga nini maana uji wa lishe wa mwanamke anayenyonyesha ni tofauti na uji wa lishe wa mtoto na pia ni tofauti na uji wa lishe wa mwanaume anayejenga mwili wake.
Mtoto anahitaji sana nafaka zenye protein kama karanga, soya lishe, mahindi lishe, ngano, na hizo zingine zinawekwa kubalance tu lishe kumpa mahitaji mengine ya virutubisho na madini muhimu.
Ukija mwanamke anayenyonyesha, atahitaji zaidi ujazo wa nafaka zenye kiwango kikubwa cha material ya chokaa au wanga na vingine vya kuzalisha maziwa kama mchele, mahindi ya kawaida, mihogo, karanga, ufuta, mtama, na hizo nyingine zinamuongezea zaidi nguvu ya mwili katika kuhimili mikiki wakati ananyonyesha. Pia usisahau kumpa gemu la kutosha mwanamke anayenyonyesha akiwa na furaha bila stress maziwa huwa hadi yanachuruzika kama chemchem.
Kwa mwanaume lishe yake kwenye uji mahitaji yatakuwa tofauti sana atahitaji kulingana na ana malengo gani kama ni kutengeneza sana mbegu za kiume na kuongeza nguvu za kufanya mapenzi then lishe yake inataka ratio balance ya tofauti na kama anataka kujenga mwili kwa maana kunenepsha mwili kama yupo chini ya uzito unaotakiwa. Ila pia kama anataka kubalance vyote pia inawezakana.
Ila huu uji unakuwa mtamu zaidi ukipikwa kwa kuweka nazi badala ya maji wakati wa kuuchemsha nazi au maziwa ya ng'ombe ambayo hayajatiwa maji kwa maana kuchakachuliwa. Na ukishaweka mezani unaweza kuweka siagi ya karanga uji unakuwa ni mzito sana , mtamu sana , unashibisha sana na unafanya kazi yake ipasavyo.
Safi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vijana na mabinti wa siku hizi ni hopeless kabisa especially eneo la uzazi. Kuna siku namsikia mdogo wangu (mtoto wa kike wa mama yangu mdogo) anaongea na mwenzake kwenye simu anamuomba ushauri huyo mwenzake juu ya mtoto kuwa na kwikwi na kucheua maziwa kama anatapika. Huyo mwenzake kwenye simu anamwambia achukue majani gani sijui amuogeshee mtoto kisha hiyo hali itaisha.
Ninasubiria wamalize kuongea nikaanza kumsema kwa uzembe wake wa kutokujifunza kuwa mtoto huwa anacheuwa na kupatwa na kwikwi kama matokeo ya uzembe wa mama yake kufeli kumuweka begani abeuwe baada ya kunyonyeshwa.
Binafsi napenda kubishana kwa hoja pamoja na kwamba najua kabisa huyo mtoto ni mdogo sana na ndio hivyo tena sio kila mtu anaweza kumudu kununua maziwa ya formulaMaziwa ya ng'ombe hapana mkuu. Bado mdogo sana. Atafute ua kopo na ahakikishe siyo feki. Na pia ya kopo anatakiwa ajuwe kuna ya umri tofauti tofauti. All in all, watoto wa kiume wananyonya sana hivyo mama ale vizuri sana kama wengi walivyoshauri.
Miezi mitatu inaweza kumsababishia matatizo mtoto, Maziwa ya ng'ombe kabla ya umri wa miezi 12 inaweza kumuweka mtoto hatarini mf.-kutokwa na damu ndani ya utumbo . Pia ina protini nyingi na madini ambayo ni ngumu kwa figo za mtoto mchanga kuchuja kwa urahisi na haina kiasi sahihi cha virutubisho kwa mtoto. At least miezi 9 kwa kufosi lakini sio salama risk ni kubwa
Yapo maziwa lishe maalumu kwaajiri ya watoto ambao aidha mama amefariki au ana matatizo ya kiafya ambayo yatamfanya ashindwe kunyonyesha.
Sasa mkeo hana shida yoyote ni lishe tu hapo ndio anafeli. Mtoto wa kiume huwa ananyonya sana so sio mchezo mchezo kumkuza hadi atapoacha kunyonya.
Fanya hivi, mtengenezee uji wa lishe mkeo ili aweze kutengeneza maziwa mtoto anyonye hadi akinai. Huo uji uweke nafaka hizi. Mahindi lishe ukikosa hata mahindi ya kawaida yatafaa, ngano, ulezi, mihogo, soya maziwa au soya lishe, mchele, mbegu za maboga, karanga, ufuta na mtama.
Hizi nafaka utaweka kwa ratio tofauti sio kwa kiwango sawa. Yaani kwa mfano huwezi kuweka zote zikawa kilo moja moja bali utazingatia ujazo wa jumla unaotaka kutengeneza kisha utagawa ratio kulingana na kilo za jumla. Mfano utataka kutengeneza kilo 30 za unga kwajiri ya uji then unaweza fanya kilo tano ni za mahindi lishe, kilo 2 ni za mchele, tatu ni za ulezi, kg mbili ni za mbegu za maboga, 3 za ufuta, kuendelea. Mimi nimeweka rough estimate hapo ila upangiliaji wa nafaka na kiwango cha kilo zake unatakiwa kuzingatia kwanza nafaka inalenga nini maana uji wa lishe wa mwanamke anayenyonyesha ni tofauti na uji wa lishe wa mtoto na pia ni tofauti na uji wa lishe wa mwanaume anayejenga mwili wake.
Mtoto anahitaji sana nafaka zenye protein kama karanga, soya lishe, mahindi lishe, ngano, na hizo zingine zinawekwa kubalance tu lishe kumpa mahitaji mengine ya virutubisho na madini muhimu.
Ukija mwanamke anayenyonyesha, atahitaji zaidi ujazo wa nafaka zenye kiwango kikubwa cha material ya chokaa au wanga na vingine vya kuzalisha maziwa kama mchele, mahindi ya kawaida, mihogo, karanga, ufuta, mtama, na hizo nyingine zinamuongezea zaidi nguvu ya mwili katika kuhimili mikiki wakati ananyonyesha. Pia usisahau kumpa gemu la kutosha mwanamke anayenyonyesha akiwa na furaha bila stress maziwa huwa hadi yanachuruzika kama chemchem.
Kwa mwanaume lishe yake kwenye uji mahitaji yatakuwa tofauti sana atahitaji kulingana na ana malengo gani kama ni kutengeneza sana mbegu za kiume na kuongeza nguvu za kufanya mapenzi then lishe yake inataka ratio balance ya tofauti na kama anataka kujenga mwili kwa maana kunenepsha mwili kama yupo chini ya uzito unaotakiwa. Ila pia kama anataka kubalance vyote pia inawezakana.
Ila huu uji unakuwa mtamu zaidi ukipikwa kwa kuweka nazi badala ya maji wakati wa kuuchemsha nazi au maziwa ya ng'ombe ambayo hayajatiwa maji kwa maana kuchakachuliwa. Na ukishaweka mezani unaweza kuweka siagi ya karanga uji unakuwa ni mzito sana , mtamu sana , unashibisha sana na unafanya kazi yake ipasavyo.
sio above kuna namba 1 na namba 2Mmmmmmhmn mbona kama umetaja lactogen wanayopewa watoto above 6months.
Yanakausha damu mtoto anaweza hata poteza maisha.Vp kuhusu maziwa ya ngombe au hayafai pia