Msaada: Mtandao wa sasatel

Kongosho

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
35,987
Reaction score
24,234
habarini,

mara nyingi natumia mtandao wa sasatel kwa ajili ya internet, lakini kwa siku kama nne nashindwa kuwa connected.

Kuna mwingine anapata tatizo hilo au ni mie nakosea mahali?

Msaada tafadhali
 
mbona miye ndo natumia na ipo safi ila sometimes ukicheki salio unakuta zile mb hazisogei then unadhani salio bado kubwa mara unastukia limekwisha ..sijui kwa nini wanafanya hivyo
 
mmh, wee unatumia kwa simu?
Mie natumia kwenye laptop, na sipati connection kabisa

ina-search tuuuu

mbona miye ndo natumia na ipo safi ila sometimes ukicheki salio unakuta zile mb hazisogei then unadhani salio bado kubwa mara unastukia limekwisha ..sijui kwa nini wanafanya hivyo
 
hivi simu za sasatel zinapatikana?
 
Breaking News:Sasatel yafa Rasmi.
Noma sana kuna mshikaji flani namjua aliacha kazi kwa mbwembwe akaenda Sasatel nadhani na yeye atakuwa anapumulia mashine,vijana wengi wanapenda sana maendeleo ya harakaharaka yakija makampuni mapya anakimbilia tu bila kutafakari anaacha sehemu aliyekuwepo miaka miwili anaenda kwenye kampuni ambayo haijui ina background gani anatema Big G kwa karanga za kuonjeshwa,Kuna kampuni ilikuja miaka ya 2008 inaitwa Hits Tanzania kampuni ya simu ilikuwa na prefix 0741xxxxxx ilinyang'anya wafanyakazi wengi kutoka kampuni za simu watu walikimbilia kisa walikuwa wanaenda kulipwa $3000 wakaacha kazi za huku walipokuwa wanalipwa 1.3m baada ya miezi mi3 wakakumbana na mtikisiko wa uchumi kampuni ikafa wakaanza kuemea mashine ahmad wengine wakapata zari wakaenda Equatorial Guine ndio ikawa manusura otherwise ilikuwa aibu maana walikuwa wamekaa miezi mi3 bila mshaara ikabidi wengine wakaanza kuuza magari yao haya makampuni mapya yanayokuja ni majanga sio mazuri kukimbilia...RIP sasatel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…