N nyota79 Member Joined Jan 5, 2017 Posts 24 Reaction score 5 Jun 13, 2017 #1 Nina kampuni ya ujenzi natafuta mtambo wa kuchonga barabara (motor grader 140G) kwa mkopo wa riba nafuu. Nipo Morogoro. Mwenye msaada nitashukuru
Nina kampuni ya ujenzi natafuta mtambo wa kuchonga barabara (motor grader 140G) kwa mkopo wa riba nafuu. Nipo Morogoro. Mwenye msaada nitashukuru
mchakachuaji192 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 366 Reaction score 69 Jun 14, 2017 #2 Jaribu kuwacheki catapila kuna wakati walikuwa wanauza hiyo mitambo kwa mkopo sina uhakika kama bado wanaendelea na utaratibu huo
Jaribu kuwacheki catapila kuna wakati walikuwa wanauza hiyo mitambo kwa mkopo sina uhakika kama bado wanaendelea na utaratibu huo
chakii JF-Expert Member Joined Sep 15, 2013 Posts 21,369 Reaction score 27,785 Jun 14, 2017 #3 nyota79 said: Nina kampuni ya ujenzi natafuta mtambo wa kuchonga barabara (motor grader 140G) kwa mkopo wa riba nafuu. Nipo Morogoro. Mwenye msaada nitashukuru Click to expand... Mkuu kuna hawa jamaa wanaitwa EFTA Ltd wapo hapo Morogoro hebu jaribu kuwacheki huenda wakakusaidia sana kutokana na maelezo yako. Wanatoa mikopo ya mashine pia
nyota79 said: Nina kampuni ya ujenzi natafuta mtambo wa kuchonga barabara (motor grader 140G) kwa mkopo wa riba nafuu. Nipo Morogoro. Mwenye msaada nitashukuru Click to expand... Mkuu kuna hawa jamaa wanaitwa EFTA Ltd wapo hapo Morogoro hebu jaribu kuwacheki huenda wakakusaidia sana kutokana na maelezo yako. Wanatoa mikopo ya mashine pia
N nyota79 Member Joined Jan 5, 2017 Posts 24 Reaction score 5 Jun 17, 2017 Thread starter #4 chakii said: Mkuu kuna hawa jamaa wanaitwa EFTA Ltd wapo hapo Morogoro hebu jaribu kuwacheki huenda wakakusaidia sana kutokana na maelezo yako. Wanatoa mikopo ya mashine pia Click to expand... nashukuru nitawatafuta mkuu
chakii said: Mkuu kuna hawa jamaa wanaitwa EFTA Ltd wapo hapo Morogoro hebu jaribu kuwacheki huenda wakakusaidia sana kutokana na maelezo yako. Wanatoa mikopo ya mashine pia Click to expand... nashukuru nitawatafuta mkuu
N nyota79 Member Joined Jan 5, 2017 Posts 24 Reaction score 5 Jun 17, 2017 Thread starter #5 mchakachuaji192 said: Jaribu kuwacheki catapila kuna wakati walikuwa wanauza hiyo mitambo kwa mkopo sina uhakika kama bado wanaendelea na utaratibu huo Click to expand... Poa kiongozi nitajaribu kufuatilia
mchakachuaji192 said: Jaribu kuwacheki catapila kuna wakati walikuwa wanauza hiyo mitambo kwa mkopo sina uhakika kama bado wanaendelea na utaratibu huo Click to expand... Poa kiongozi nitajaribu kufuatilia
RedDevil JF-Expert Member Joined Apr 30, 2009 Posts 2,367 Reaction score 1,524 Jun 17, 2017 #6 Angalizo: Hii mitambo inakuwa bora zaidi ukiwa tayari unakazi mkononi.