Kuna kaka mmoja nilifanya nae kazi ofisi moja. Siku moja alimpata mdada ofisi ya jirani, walikutana lunch. Mkaka kuhakikisha kunihadithia mtoto mzuri lakini anaonekana matawi.
Siku moja alifanikiwa kumtoa kwa kinywaji. Kule dada alizidiwa kumbe si mzoefu wa pombe. Baada ya glass mbili za wine dsda hajiwezi.
Kaka alichukua chumba hotelini. Asubuhi ananiambia ameamka na yeye mkojo boxer imelowa. Baada ya hapo hakuendelea nae tena.