Habari wana JF!
Nimeona si vibaya nikatafuta msaada hapa jamvini kwani nina hakika wapo watu wenye uelewa mpana wa mambo hasa maswala ya taaluma. Nina ndugu yangu anatafuta kozi ya kusoma (certificate) yenye future ila isiyohusisha mambo ya account au maths. Tafadhali kama unaweza shauri kozi na chuo inachotolewa ntashukuru sana..
Msaada wa ushauri wako ni muhimu sana.Ahsante