Simu yangu aina ya Samsung galaxy W i8150 imeformat pics zote na songs na baadhi ya files. Please naomba mwenye kunisaidia kufanya backup au ndo imeshatoka tayari?
mswahili,
kufanya back up mana ake kunasehemu uli save either ni kama compressed kwenye SD card au Hata PC,
sasa unachokihitaj wewe kitatokea wap ingekuwa PC Ungeweza hata kutumia CMD, Sasa hyo galaxy labda tuone wanaokuja
Toa sd card katika cm yako alafu ifanyie recovery. So fanya hivyo kwa kufuata hatua alafu utachambua katika vi file utakavyo viona katika pc au uwaone wataala kwa msaada zaidi maana kama utakuwa hujui jins ya kufanya hivyo nikazi kidogo