Msaada:Mrembo wangu anankimbia

kopozi

Senior Member
Joined
May 30, 2014
Posts
136
Reaction score
22
Nimekuwa nasumbuliwa na fangasi sehemu za uzazi kwa muda sasa..khali inayonipunguzia ufanisi....naombeni msaada.
 
Nenda hospitali Tafuta dawa ya maji..sio cream...ya maji itakusaidia
 
Ni kitu ambacho kinatibik nenda hosp kabla mambo hayajawa magumu zaidi..
 
pole mkuu, lakini heading ime reflect kitu tofauti na uziwenyewe
 
kwanza kuwa msafi hasa kwa nguo zako za ndani hakikisha hauludii mara mbili.pia usivae nguo ambayo haijakauka au yenye unyevu.mda mwingi akikisha upo kwenye hali ya ukavu.pia usivae nguo inayokubana sana ambayo hewa kupita shida.usitumie sabuni zenye makemikali au hata mafuta yenye makemikali.chengine hakikisha choo kinakuwa kisafi mda unapokitumia.kubwa kuliko NENDA HOSPITALI UKUTANE NA MADAKTALI.waeleze tatizo lako na kama kuna baadhi ya dawa umeshawai kutumia na muda wa hilotatizo.hope utapata suluhisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…