General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
we mnyamwezi umelaaniwaaaMwambie aache kukushika mike na kuimba aka kula koni ndo kunakosababisha harufu kali ya kinywa.
Tena kama na yeye ameanza kamchezo ka kukuramba mstari wa ikweta ati kwa dhumuni la kukupa mautamu mwambie aache kabisa ndo matokeo anakuwa kama kameza kipisi cha nnya.
Mautamu yote yako kwenye kaateerreeeroooo hapo mkimaliza wote mko chalii hooiiii asubuhi mnanyweshana maji tuu.
Kasie Matata.
we mnyamwezi umelaaniwaaa
Ni shilingi ngapi mkuu?Tatizo kubwa letu sisi Watanzania hatuendi kusafisha meno kwa dentists. Mara mbili kwa mwaka itasaidia kutoa ukungu wa meno na bacteria wa kinywa. Mkuu kama unampenda mpeleke akasafishe meno, mtoto mzuri hawachwi kwa kosa hilo.
Mwaka unaishia ila kunajambo linanikwaza hadi natamani nisiuvuke mwaka.
Jambo lenyewe nimedumu ktk mahusiano na binti ambaye Mungu ameonesha ufundi wake ila ANANUKA kinywa.
Je, nifanye nini tatizo liishe niendelee kufaidi utamu wke?
Nikimwacha naona km nakufuru uumbaji wa Mungu.
Wajuzi mnisaidie
Ushauri murua, tekeleza.Mpeleke kwa watalaam wa kinywa
Unakufuru uumbaji wa mungu?Mwaka unaishia ila kunajambo linanikwaza hadi natamani nisiuvuke mwaka.
Jambo lenyewe nimedumu ktk mahusiano na binti ambaye Mungu ameonesha ufundi wake ila ANANUKA kinywa.
Je, nifanye nini tatizo liishe niendelee kufaidi utamu wke?
Nikimwacha naona km nakufuru uumbaji wa Mungu.
Wajuzi mnisaidie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tuko school jamaa kaleta tatizo akapewa suluhisho na mdau mmoja kua ampe hints juu ya hilo swala, hivyo zawadi ziwe dawa ya meno, miswaki, mouthwash n.k.
Yule jamaa akampelekea demu wake colgate kubwa nusu dazeni, miswaki dazeni na manual ya namna ya kupiga mswaki siku ya birthday.
Baada ya wiki anakuta zawadi ziko vilevile, binti kaulizwa vipi akajibu nimeamua kutunza kumbukumbu mpenzi wangu.
we kibokooMwambie aache kukushika mike na kuimba aka kula koni ndo kunakosababisha harufu kali ya kinywa.