Mwambie aache kukushika mike na kuimba aka kula koni ndo kunakosababisha harufu kali ya kinywa.
Tena kama na yeye ameanza kamchezo ka kukuramba mstari wa ikweta ati kwa dhumuni la kukupa mautamu mwambie aache kabisa ndo matokeo anakuwa kama kameza kipisi cha nnya.
.....
SI KWELIMwambie aache kukushika mike na kuimba aka kula koni ndo kunakosababisha harufu kali ya kinywa.
Tena kama na yeye ameanza kamchezo ka kukuramba mstari wa ikweta ati kwa dhumuni la kukupa mautamu mwambie aache kabisa ndo matokeo anakuwa kama kameza kipisi cha nnya.
Mautamu yote yako kwenye kaateerreeeroooo hapo mkimaliza wote mko chalii hooiiii asubuhi mnanyweshana maji tuu.
Kasie Matata.
SI KWELI
Hilo ni tatizo mtu anazaliwa nalo kama wale wanaonuka kikwapa wengine Pua nakadhalika.
SI KWELI
Hilo ni tatizo mtu anazaliwa nalo kama wale wanaonuka kikwapa wengine Pua nakadhalika.
Mwaka unaishia ila kunajambo linanikwaza hadi natamani nisiuvuke mwaka.
Jambo lenyewe nimedumu ktk mahusiano na binti ambaye Mungu ameonesha ufundi wake ila ANANUKA kinywa.
Je, nifanye nini tatizo liishe niendelee kufaidi utamu wke?
Nikimwacha naona km nakufuru uumbaji wa Mungu.
Wajuzi mnisaidie
mkuu mtafutie dawa nzuri za meno haswa dawa ya meno ya alovera, pia nenda hosp pata taarifa kwa dokta then mpe dawa pasipo ye kujua dhumuni lako maana akijua atajisikia vibaya na itaathiri mahusiano yenuMwaka unaishia ila kunajambo linanikwaza hadi natamani nisiuvuke mwaka.