Ni kweli I regretFirst suala sex na mahusiano ni kila mtu na mtazamo wake
wapo ambao sex ni sehemu muhimu tu ya kujuana na kuimarisha uhusiano
wapo wengine sex lazima isubiri kwanza wafahamiane vizuri
Ulipaswa kumwambia kabla hata hajasafiri kuja kuwa akija hamta sex
ili ajue na aamue kuja au asije...
La pili ulikosea sana kwenda na rafiki yako ukakaa nae masaa matatu kiasi wewe na mtu wako mkashindwa
kuongea yenu na kuzoeana na kufahamiana na kuelewana
yawezekana jamaa alijikuta tu 'ameboreka' na kila kitu
Na hili la pili ndio tatizo hasaFirst suala sex na mahusiano ni kila mtu na mtazamo wake
wapo ambao sex ni sehemu muhimu tu ya kujuana na kuimarisha uhusiano
wapo wengine sex lazima isubiri kwanza wafahamiane vizuri
Ulipaswa kumwambia kabla hata hajasafiri kuja kuwa akija hamta sex
ili ajue na aamue kuja au asije...
La pili ulikosea sana kwenda na rafiki yako ukakaa nae masaa matatu kiasi wewe na mtu wako mkashindwa
kuongea yenu na kuzoeana na kufahamiana na kuelewana
yawezekana jamaa alijikuta tu 'ameboreka' na kila kitu
Ni kweli I regret
Icho kitu ndio uwa kinaniboa kwa wanawake wengi unamwambia njoo tukutane au njoo nikuone,then unamsikia ntakuja na rafiki yangu,hakuna kitu nachochukia kama hiki.
Ndio hivyo rafiki mwenyewe unakuta kichwani empty,na kiukweli hapo mchawi hata sio sex bali ni rafiki yake maana angekuwa wameshinda wote kwa huo mda hata kama angekataa jamaa angemuelewa coz ameshamsoma kwa hayo masaa kadhaa.Kibaya zaidi anaweza kuja na rafiki kimbelembele mjuaji..
rafiki anaemshikia akili
yeye kakupenda but rafiki yake akikuponda tu baasi...
KashaondokaKhaaaa!
Kiukweli ni mazito kweli haya.
Yote kwa yote hakupaswa kuwa na maamuz ya ghafla kiasi hicho, Subira ilipaswa ichukuwe nafasi kwa pande zote mbili.
Japo hujaeleza kama keshaondoka ama laa?
Ila kama kaondoka, basi mpotee tu, maana anaonekana huyo ni wa kuchovya tu.
Maana wanaume wa Dar ndivyo walivyo hivyo.
Ha ha ha ha ha hahaha.
Tanya hebu nenda na wakati
Wanaume wa kupanda ndege dar to mbeya kuja tuu kuongea bila kula papuchi last seen yao ilikua kipindi cha kina Nuhu