Yaweza kuwa
1...setting
2...missing drivers
3...bad connection
sometime kukiwa na button ya keyboard inajibonyeza mouse pia huganda. kama una keyboard ya nje jaribu kui disconect nayo
ikiganda vitu vyengine vinafanyika? mfano inaganda huku unaangalia video, ile video nayo inanata? au video inaendelea kucheza. next time ikinata jaribu kufanya combination yoyote ya keyboard kama alt+f4, ctrl+alt+del etc kama ikinata mouse vitu vyengine pia havifanyi kazi pengine tatizo ni hddsio mda wote inaganda mkuu ... inakuwa inaganda na kuachia ... na kama ikiganda kwa mda mrefu, ukirestart huwa inasaidia kidogo na kuweza kutumia tena kwa mdaa
ikiganda vitu vyengine vinafanyika? mfano inaganda huku unaangalia video, ile video nayo inanata? au video inaendelea kucheza. next time ikinata jaribu kufanya combination yoyote ya keyboard kama alt+f4, ctrl+alt+del etc kama ikinata mouse vitu vyengine pia havifanyi kazi pengine tatizo ni hdd
Jaribu kubadilisha RAM...
cheki vifaa vyengine mkuu ikiganda disconect vifaa vyengine kama keyboard, most of time ikitokea kwangu tatizo huwa ni kitu tofauti na mouse yenyewe.Mkuu mara nyingi ikiganda mouse vitu vengine vinafanya kazi
May be kuna baridi ebu jaribu kuiweka kwenye jua ipate joto kidogo
cheki vifaa vyengine mkuu ikiganda disconect vifaa vyengine kama keyboard, most of time ikitokea kwangu tatizo huwa ni kitu tofauti na mouse yenyewe.