mi sio mtaalamu wa Masuala ya simu,nimeipenda sana hii simu nataka nijichange niichukue;android version ni 4.4.4 na kernel version ni 3.442-gdb5a4c6 na system version ni 24.13.2.obake-maxx_verizon.Verizon.en.Us.Je inaweza kua inapiga mzigo vizuri??
verizon ni mtandao wa marekani na unatumia CDMA na sio GSM kama huku kwetu, hivyo asilimia nyingi hio simu haitafanya kazi huku unless iwe na band za GSM zilizojificha.