msaada:.motorola droid pro xt 610

msaada:.motorola droid pro xt 610

DAVIES

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2011
Posts
516
Reaction score
90
habari wanajamvi; naombeni m
aelekezo jinsi ya kuunga simu hii na internet ya tigo wadau. natanguliza na shukrani
 
settings>wireless & networks>mobile networks>access point name
(new apn)
name:davies
apn:internet
apn type:default


sehemu nyingine ziache wazi kama zilivyo,baada ya hapo

save and enable.enjoy
 
settings>wireless & networks>mobile networks>access point name
(new apn)
name:davies
apn:internet
apn type:default


sehemu nyingine ziache wazi kama zilivyo,baada ya hapo

save and enable.enjoy

Thanks sana nimefanikiwa. Kweli sikukosea kujiunga na jukwaa hili hakika najivunia @ john hatsam da1
 
Msaada nahitaji settings za tigo kwenye internet apn simu ni android pad phone. Asante
 
Back
Top Bottom