salaam wakuu
mimi ni graphic designer nnayehitaji kuongeza ujuzi wangu kwa kujifunza motion graphics naomba mtu anayefahamu chuo gani naweza kusoma course ya muda mfupi tafadhali nisaidie mawasiliano au mahali chuo kilipo ndani ya mkoa wa dar es salaam.
nawasilisha!