Msaada: Monkeytest na timeservice kwenye simu yangu

emboaba

Senior Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
143
Reaction score
117
Natumia r5 tecno zaman havikuwepo hivi vitu..(timeservice na monkeytest), nini chanzo chake na je hutolewaje.

Natangulza shukran
 
Umerrot simu yako na unainstall apk ambazo hazijatoka playstore?
 
cjawah kuroot ila mara nyng huwa natumia flash share ka kuna apk kwa cm nyng huwa ctumii mara/mara playstore
 
Kwa kifupi umepata virus ya Ghost Push kwa vile umedownload apps kutoka sehemu zisizoeleweka, virus hii inaifanyia rooting device yako kisha inaanza kuinstall app bila idhini yako.

Kwa vile virus hii ina root access ukifanya reset ya kawaida haitatoka kwenye simu, njia mathubuti ya kuzitoa virus ya namna hii ni kuiflash simu yako na original ROM ambayo itafuta kila kitu kwenye simu.

Kabla ya hilo jaribu kutumia App hii uone kama itaweza kuiondoa.

Stubborn Trojan Killer - Android Apps on Google Play
then install hii.
Lookout Security & Antivirus - Android Apps on Google Play
 
Kwanza napenda kutoa shukrani kwako mkuu Kang hii koment yako imekuwa na faida kwangu kwani hata mimi nilikuwa na tatizo linalofanana na mleta mada. Mimi natumia tecno p5 ilikuwa inajinstall apps bila ruhusa yangu hasa ninapofungua data na ukizifuta baada muda mfupi zikawa zinarudi tena na pia neno 'unfortunely monkey test has stopped' na maneno mengine yanayofanana na hilo kiukweli ilikuwa kero kubwa kwangu. Sasa nimefanikiwa kuuondoa huo ujinga baada kuinstall apps hizo hapo juu! Ubarikiwe sana.
 
Poa, nawasihi muache kuroot na hasa kuinstall Apps/apk kutoka Playstore tu, maana apk za nje hauwezi kujua wamechomeka nini.
 
Kwa kifupi umepata virus ya Ghost Push kwa vile umedownload apps kutoka sehemu zisizoeleweka, virus hii inaifanyia rooting device yako kisha inaanza kuinstall app bila idhini yako.

Kwa vile virus hii ina root access ukifanya reset ya kawaida haitatoka kwenye simu, njia mathubuti ya kuzitoa virus ya namna hii ni kuiflash simu yako na original ROM ambayo itafuta kila kitu kwenye simu.

Kabla ya hilo jaribu kutumia App hii uone kama itaweza kuiondoa.

Stubborn Trojan Killer - Android Apps on Google Play
then install hii.
Lookout Security & Antivirus - Android Apps on Google Play
Waweza nisaidia kumpata Huyo virus anayesababisha cm ijiwashe data na kujidownload
 
Kwa kifupi umepata virus ya Ghost Push kwa vile umedownload apps kutoka sehemu zisizoeleweka, virus hii inaifanyia rooting device yako kisha inaanza kuinstall app bila idhini yako.

Kwa vile virus hii ina root access ukifanya reset ya kawaida haitatoka kwenye simu, njia mathubuti ya kuzitoa virus ya namna hii ni kuiflash simu yako na original ROM ambayo itafuta kila kitu kwenye simu.

Kabla ya hilo jaribu kutumia App hii uone kama itaweza kuiondoa.

Stubborn Trojan Killer - Android Apps on Google Play
then install hii.
Lookout Security & Antivirus - Android Apps on Google Play

Mkuu nimekupa like. Asante hili tatizo limenifanya mpaka nikabadili simu, sasa naishighulikia ile simu yenye virus naona imewaondoa kulingana na hizo app ulizozitaja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom