Msaada: Modem ya Zain haishiki network.

Zanta

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,028
Reaction score
797
Wakuu
Nilikua natumia modem ya Zain ile ya zamani, sasa kuanzia tarehe moja hii modem haishiki tena network. Nimejaribu kutoa line na kuweka kwenye simu line inafanya kazi. Nimejitahidi kupiga customer care hawapokei, nimejaribu kuiweka kwenye hii modem kwenye computer nyingine bado haifanyi kazi. Sasa kwa yeyote anajua tatizo ni nini aniasaidie! Kabla sijawazukia hao air tel .
Shukrani
 
Leo wataalamu hakuna dah
 
jaribu kucheck kama network mode uliyoichagua kwenye modem inapatikana mahali ulipo kaka..... kwenye simu inakamata labda kwasababu ni gprs/edge network, wakati kwenye modemu umeset 3g only. Badili na kwenye modemu iwe Gsm au edge afu nambie wanasemaje
 
Mkuu thanks, ni kwamba hii modem nolikua naitumia na sijabadili kitu chochote kwa hiyo ilikua inatokea neno edge sasa nashangaa haikamati tena network
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…