Wakuu, kuna modem ya airtel ilikuwa inafanya kazi vizuri tu, mara ikawa ukiiplug na kutaka kuconnet inaleta msg kwamba device is already in use or is not configured propery.
Shida ni nini?
Bandle ipo ya kutosha na uki weka card kwenye modem nyingine, inapiga kazi.
Msaada tafadhari.