Wadau wataalamu wa Electronics naomba Msaada wenu.
Hapa nina Tv ya LG smart inch 43, binafsi sikuwahii kujua kama haina 3.5mm Jack bali ina DIGITAL AUDIO OPTICAL sasa nimenunua HI-FI ya JVC MX D300 MIN amabyo ina AUX INPUT.
CHANGAMOTO
Nakosa namna ya kufanya connection ya Dundo hili, ili sound ya TV Ipitie KWENYE HI-FI..
Nimejaribu ku google, Youtube ni kama experts wanashauri niwe na Optical tv Converter ambayo Kibongo bongo sifaham naweza ipata duka Gani...(niko Dar)
Msaada tutani....
Sent using
Jamii Forums mobile app