Jitahidi anywe uji wenye pilipili manga kwa wingi sana ukiwa wa moto....itamsaidia sana.
bade hayatoki mkuuJe, miguu nayo inavimba?! Anza na uji wa pilipili manga kama wadau hapo juu walivyopendekeza. Pia Wapare wana uji unaitwa "Idundi" yaani uji unga wa mhogo mixed na mtindi. Uwe mwepesi kimtindo na unywewe ukiwa wa moto. Ni dawa nayo. Yasipotoka hapo leta feedback twende extra mile mpaka yatoke. Hatuna mzaha na afya za wenetu!
Et angalau mara ngapi kwa siku?Jitahidi anywe uji wenye pilipili manga kwa wingi sana ukiwa wa moto....itamsaidia sana.