Pole sana nenda hospitali utapata majibu mazuriHabari zenu wandugu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu hili tatizo lilimpata kipindi fulani akiwa mjamzito ikasababisha mimba kutoka sasa naona limerudi tena nini inaweza kuwa tatizo naombeni msaada wenu wa mawazo.