Wakuu habari,
Nataka nianze ujasiriamali, na ningependa kuuza nguo za mitumba za watoto. Sasa shida sijui mabel ya mitumba yanauzwa wapi dar/kariakoo na ningependa kuuza nguo first quality sio lonya. Naomba mnisaidie mahali naweza pata hiyo mitumba na ikiwezekana na bei