Eliazery
Member
- Dec 7, 2015
- 19
- 9
Mimi ni Mhandisi Ujenzi ( Civil Engineer) naitwa Alemi.B.Eliazery mwenye uzoefu wa miaka 5 tangu nimalize Bachelor yangu ya Ujenzi katika chuo cha Mbeya University,
Natafuta kazi/ Ajira sector yoyote iliyotayar kuniajiri au kunipa kazi kwani Niko tayar kufanya bila kuchagua mkoa au eneo la kazi,
CV na vyeti ninavyo, hapo nyuma nilikuwa na mkandarasi lakin kazi zimeisha hivi sasa Niko nyumbani,
Naomba connection ya kazi, mficha uchi hazai, kwa sasa naishi Singida mjini.
Mawasiliano yangu ni:
0752979700
0719751261(WhatsApp)
0689593993
Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app