Shora Open
Member
- Jul 18, 2013
- 94
- 64
Mkuu unaweza ukatoa na sababu za kwanini Pspf?Pspf
Kwanini Lapf mkuu?Lapf
Bado mchakato unaendeleakwani hazijaunganishwa bado.. siku hizi zinafanana
Asante Atuganile, ungenisaidia benefits briefly za hiyo mifuko LAPF na PSPF.Miaka 5 iliyopita nilimaliza mkataba wangu na shirika moja hapa TZ. Nilikuwa nimejiunga PPF. Nilivyopeleka vielelezo ndani ya siku 30 wakanipatia mafao yangu wala hawakunisumbua! Lakini now days mfuko unaokiki sana ni LAPF na PSPF chagua kati ya hii!
We kajiunge tu lakini hela yako utaipata ukitimiza miaka 55.Hii mifuko hovyo kabisa mambo gani ya kupangiana muda wa kuishi sasa..Habari waungwana!
Naombeni elimu/msaada, ni mfuko upi wa jamii mzuri kwa mwajiriwa mwenye mkataba wa kazi mfupi.
Uzuri wa mfuko kwa maana masharti nafuu na faida zaidi.
Karibuni.
Yes na Sheria imeanza rasmi this April tarehe Moja sasaivi taratibu za administrative na regulations basi. Only NSSF for private sector and PSSSF for public sectors Hakuna kuchagua sasaSheria ya kuunganishwa mifuko yote inabaki miwili tu imeshatungwa. Nasikia mheshimiwa rais ameshasaini na itaunganishwa mifuko yote inaunganishwa inabaki miwili tu, mmoja kwa wafanyakazi wa serikali, na wa pilikwa wafanyakazi makampuni binafsi. Sheria ya hiyo mifuko miwili inayobaki mafao yake itakuwa sawa. Hakutakuwa na uchaguzi ujiunge na upi.