Mapindizi chanya
Member
- Jan 21, 2018
- 35
- 33
Ninalo lkn lina gb nyingi km upo tayari changia bando nikutumie through telegramwadau poleni sana majukumu ya kila siku...
naombeni program ya microsoft office plz...
ahsante
natanguliza shukrani
Mkuu mbona umerudi nyuma sana kwa kuhitaji hiyo version ya ms office?wadau poleni sana majukumu ya kila siku...
naombeni program ya microsoft office plz...
ahsante
natanguliza shukrani
Kwann mkuu nipe elimu mkuuuMkuu mbona umerudi nyuma sana kwa kuhitaji hiyo version ya ms office?
Kila mwaka Microsoft anatoa updated version ya software zake na tukija kwenye suala la MS Office tangia alipotoa ya 2007 ikafuata 2010, 2013, 2016 na kuendelea.Kwann mkuu nipe elimu mkuuu
Asaaante sana kakaKila mwaka Microsoft anatoa updated version ya software zake na tukija kwenye suala la MS Office tangia alipotoa ya 2007 ikafuata 2010, 2013, 2016 na kuendelea.
Na ukitafuta Ms Office ambalo ni toleo jipya zaidi ya ile iliyopo ndipo utapata features nyingi zaidi na ufanisi wa hali ya juu.
Mfano; hizi toleo mpya endapo ukazifungua unaweza kuunganisha na account zako kwa online backup, kuna sample template ambazo ni rahisi kukusaidia mfano kama hujui namna ya kuandika...na mengineyo mengi sana ambayo hakika hutojutia kuzitumia.
Samahani mkuu kwa interruption, window ipi itakuwa ni nzuri na latest kwa matumizi ya kawaida, mana nina window 8 pro, inanisumbua tether na kushare ma file na sim kama inaitaji recovery na updatesKila mwaka Microsoft anatoa updated version ya software zake na tukija kwenye suala la MS Office tangia alipotoa ya 2007 ikafuata 2010, 2013, 2016 na kuendelea.
Na ukitafuta Ms Office ambalo ni toleo jipya zaidi ya ile iliyopo ndipo utapata features nyingi zaidi na ufanisi wa hali ya juu.
Mfano; hizi toleo mpya endapo ukazifungua unaweza kuunganisha na account zako kwa online backup, kuna sample template ambazo ni rahisi kukusaidia mfano kama hujui namna ya kuandika...na mengineyo mengi sana ambayo hakika hutojutia kuzitumia.
Windows 10 ndo wameiadvance zaidi kuliko hizo zingine hususan windows 8.Samahani mkuu kwa interruption, window ipi itakuwa ni nzuri na latest kwa matumizi ya kawaida, mana nina window 8 pro, inanisumbua tether na kushare ma file na sim kama inaitaji recovery na updates
Thanks in advance
Asante mkuu,Windows 10 ndo wameiadvance zaidi kuliko hizo zingine hususan windows 8.
So, Windows 10 is good to go to.
Samahani kwa usumbufu mkuu, kuna jamaa angu alikuwa ananisaidia kuniwekea windows ingawa alikuwa aniwekei keys zake, sasa nataka niweke hiyo window 10 ambayo ipo activated kabisa, inaweza kunigharimu kiasi gani?Windows 10 ndo wameiadvance zaidi kuliko hizo zingine hususan windows 8.
So, Windows 10 is good to go to.
Hiyo haina shida katika kuiactivate, download KMSPICO mtandaoni, hii itakusaidia kuactivate MS office pamoja na Windows kwanzia 8, 8.1 na and10Samahani kwa usumbufu mkuu, kuna jamaa angu alikuwa ananisaidia kuniwekea windows ingawa alikuwa aniwekei keys zake, sasa nataka niweke hiyo window 10 ambayo ipo activated kabisa, inaweza kunigharimu kiasi gani?