MSaada: MICROSOFT ENCARTA

reandle

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
11,166
Reaction score
8,159
Wadau,
Naomba msaada wa hiyo program Microsoft Encarta....kila ninapo-google, nakuta ipo na website zingine kv cnet, softonic nk ambapo ukifungua link, ni kama nashindwa kukuta direct link ya ninachohitaji zaidi ya zile tu za kwao wao!

So, kama kuna yeyote ambae ana hiyo kitu then I need your help; or kama kuna namna ya kupata desired direct link kutoka huko cnet or softonic.

THANKS IN ADVANCE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…