Wakuu habari zenu, naombeni msaada nimepima malaria, typhoid, UTI vyote cna ila mgongo unauma Sana hasa sehemu ya Kati kuja juu kwenye mabega...shida inaweza kua nn zaid? Na je nikifanyiwa massage tatizo linaweza pungua?
Kipimo kipo kwenye bima! Ukiwa na upungufu wa Calcium dalili kubwa ni maumivu ya mgongo, miguu, na vidole vinakuwa kama vina ganzi na muda mwingi unajisikia kuchoka choka.