Msaada mfumo wa ajira portal unanigomea

Msaada mfumo wa ajira portal unanigomea

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
1,011
Reaction score
1,915
Msaada.

Kwenye Acc yangu ya ajira portal nadhindwa kuedit sehemu ya academic ninaweka upya vyeti vilivyosainiwa na mwanasheria Ila inanigomea
 
Bonyeza kwenye kitufe cha EDIT halafu itakupeleka kwenye ku upload cheti upya, utafanya hivyo.

Hakikisha mtandao uko vizuri
 
Bonyeza kwenye kitufe cha EDIT halafu itakupeleka kwenye ku upload cheti upya, utafanya hivyo.

Hakikisha mtandao uko vizuri
Hivi kwanini wanataka certified copies badala ya cheti original?

Kuna sababu yoyote ya kitaalamu?
 
Hivi kwanini wanataka certified copies badala ya cheti original?

Kuna sababu yoyote ya kitaalamu?
Nahisi system haiwezi kutofautisha kipi fake au og maana kila chuo kina aina yake ya vyeti.

Ila ni rahisi ku detect muhuri wa Mwanasheria kwenye copy ambayo obvious itakua white..Na kama mwanasheria ka sign maana ake cheti ni OG.
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Back
Top Bottom