silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,618
- 2,373
Habari za jioni wadau!
Nimepata ajira,lakini natakiwa kuchagua moja wapo ya mifuko ya hifadhi ya jamii. Naomba ushauri kwa mwenye uelewa na hayo mambo.
Natanguliza shukrani
Dorkan, Mfuko wenye kanuni au formula yenye mafao mazuri hadi sasa ni LAPF, ikifuatiwa na PSPF halafu NSSF. PPF wao wana huduma bora kuliko wote.
Hongera kwa kuona umuhimu wa kuchangia kwa ajili ya akiba ya sasa na uzeeni.
Queen Esther
asante mpendwa wangu,na je kama ukichangia kwa mwaka mmoja then kibarua kikaisha,wanakuwa na utaratibu gani?
Mwana jiunge na mfuko wa umoja, ule ndio poa sana kwa sababu pesa yako iko karibu na moyo wako na masikio yako.Take it from me. usije kujuta kama wengine kadhaa.Habari za jioni wadau!
Nimepata ajira,lakini natakiwa kuchagua moja wapo ya mifuko ya hifadhi ya jamii. Naomba ushauri kwa mwenye uelewa na hayo mambo.
Natanguliza shukrani
Habari za jioni wadau!
Nimepata ajira,lakini natakiwa kuchagua moja wapo ya mifuko ya hifadhi ya jamii. Naomba ushauri kwa mwenye uelewa na hayo mambo.
Natanguliza shukrani
Jiunge na pspf ndio mfuko bora. .hao wengine wanakudanganya formula na kiasi unachopata ni kiduchu..waulize wastaafu wao wanavyolia
pspf wana fao la uzazi?
PSPF wengine wote matapeli tu sjui hata SSRA wanafanya nini
Jiunge na pspf ndio mfuko bora. .hao wengine wanakudanganya formula na kiasi unachopata ni kiduchu..waulize wastaafu wao wanavyolia