mkuu,michongo hiyo mara nyingi huwa ni ya kitapeli,kama kweli unahitaji hiyo kitu nenda kwenye proper channel uelekezwe,sio za kuuziwa kienyeji kama hivyo,mara nyingi huishia kupigwa tu,kawaulize wachimba madini wananunua wapi,hao wanaojifanya wanayo watakupa hadi sample ya ukweli kaka na saa nyingine hadi hiyo sample inaweza kuwa ya magumashi inayoonekana kama ya ukweli vile hata ukitumia vipimo vya kienyeji utaiona kama yenyewe,watakuaminisha kuwa wanayo stock kubwa tu,ukiwapa mzigo(mapene) tu wanakupa famba(fake) tena kwenye kichupa kizuuuri na utaamini, tena kwa bei nzuri,utastuka baadae wakati mshaachana