Msaada memory ndogo

Bayyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,819
Reaction score
2,920
salute wakuu. nimekuwa napata shida ku'download' watsap messenger kwenye simu ya android. kila nikijaribu ni INSUFFICIENT MEMORY. naombeni msaada km nifanyaje?
 
futa kila kitu anza kudownload whatsapp kwanza ikigoma restore factor.hata hivyo ndiyo matatizo ya simu ndogo.app 3 simu imejaa;nilipata shida sana wakati nikitumia p3 lakini siku hizi sina shida hizo
 
poa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…