F Fundifundisho Member Joined Jan 11, 2011 Posts 77 Reaction score 18 Aug 31, 2012 #1 Wakuu naomba kujua niipateje software itakayoweza kurudisha vitu vilivyofutwa kwenye memory card? Niliwahi ku download "sd recovery" ikawa ni ya kulipia nikashindwa. Naomba kama kuna anayefahamu juu ya hii kitu anijuze, natanguliza shukrani...
Wakuu naomba kujua niipateje software itakayoweza kurudisha vitu vilivyofutwa kwenye memory card? Niliwahi ku download "sd recovery" ikawa ni ya kulipia nikashindwa. Naomba kama kuna anayefahamu juu ya hii kitu anijuze, natanguliza shukrani...