Angalia moyo wako unasema nini na sio jamii kwa kuwa huolei jamii bali wewe mwenyewe!Sitaki kumrudia. Jamii nayo haitaniangalia vema pia kwa sasa sipo tayar kuoa na yeye anataka ndoa. Nimemaliza chuo mwaka jana July, Mungu ni mwema nimepata kazi mwez September nahtaj kuwa single for somtym
Hapo kwamba alibakwa ndio amekudanganya. Hajabakwa huyo alitoa game kwa hiari.
Jambo lingine huyo mwanamke sio mkweli,hiyo kwangu ni point muhimu ya kumdiskolifai na kila kitu. Kama alitaka akusingizie mimba wakati anajua sio yako kwa maksudi bado unamuamini?
Hiyo ya kulia lia ni defence mechanism ya kutafta sympathy kwako ili umkubalie shida yake vinginevyo hana jipya,ni tapeli sema keshagundua wewe ni zombi akikwambia lolote unakubali.
Ok,nakushauri mdogo wangu achana na huyo binti,sio mtu mzuri kabisa.
Lingine mdogo wangu jitahidi uwe unaandika kwa aya,haiwezekani useme una elimu ya chuo kikuu uandishi wako uwe hivi.
kabisa kwan hujui kesho itakuajeMwenzio akinyolewaa ngojaa zangu nitie maji
Kaka kama kweli umemaliza chuo kikuu why unaandika hivi? si uwe unapangilia vizuri basi. Msaidie huyo dada kama alivyosema Jestina.
Wengine sisi habar za uandishi tulishasahau tangu o levo. Tumesoma mahesabu na kuandika andika wapi na wapi. Tunafanya tu kwa mazoea