Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 599
- 1,765
Urembo sio Uniform like in Velocity ni Relative like in Time. Huyo unamuona sio mrembo, hao unaowaona ni warembo kwangu inawezekana nawaona wabaya pia.hiyo sura ndio mrembo kweli kweli? acha masiala mkuu[emoji1][emoji1][emoji1]
Wewe hata ukija kuoa utakuwa mume wa hovyo sana. Utakuwa unatoa siri za mkeo kwa raia. Kama unahisi ana tatizo si umpeleke kwa wataalamu wa afya badala ya kuja kuanika matatizo yake hapa? Pumbavu sana wewe Kinjekitile.
Dogo una miaka mingapi?
Anatibika kabisa ukihakikisha umempima magonjwa mengine yote magumu, mke wangu amekuwa hivyo kwa mda mrefu mpaka nilipompata dakatari wa maana.
Wewe hata ukija kuoa utakuwa mume wa hovyo sana. Utakuwa unatoa siri za mkeo kwa raia. Kama unahisi ana tatizo si umpeleke kwa wataalamu wa afya badala ya kuja kuanika matatizo yake hapa? Pumbavu sana wewe Kinjekitile.
Wewe ni mpumbavuMkuu Siri gani tena kwani kueleza shida zinazo mkuta mtu wangu ni Makosa??
Wewe ni mpumbavu