MSAADA:Mbona tupo kimya makamanda?

MSAADA:Mbona tupo kimya makamanda?

IYOMBO

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
381
Reaction score
218
Kama ratiba ya nec inavyo onesha leo ndio mwisho wa kurudisha fom kuanzia udiwani,ubunge na urais na tayari makanda(wagombea kupitia UKAWA) wameisha rudisha kwa baadhi ya maeneo na wengine wanarudisha leo lakini hadi hivi sasa sijasikia juu ya urudishwaji wa fom kwa mgombea wetu wa uraisi kupitia UKAWA hivyo mwenye kujua hili anijuze na aujuze umati wa watanzania.
 
kweli tumeuwa kimya sana ukawa poepleees poweeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrr
 
kama ratiba ya nec inavyo onesha leo ndio mwisho wa kurudisha fom kuanzia udiwani,ubunge na urais na tayari makanda(wagombea kupitia ukawa) wameisha rudisha kwa baadhi ya maeneo na wengine wanarudisha leo lakini hadi hivi sasa sijasikia juu ya urudishwaji wa fom kwa mgombea wetu wa uraisi kupitia ukawa hivyo mwenye kujua hili anijuze na aujuze umati wa watanzania.

nasikia anaumwa japo ni tetesi tu ambazo tangu jana hazijathibitishwa
 
Kama ratiba ya nec inavyo onesha leo ndio mwisho wa kurudisha fom kuanzia udiwani,ubunge na urais na tayari makanda(wagombea kupitia UKAWA) wameisha rudisha kwa baadhi ya maeneo na wengine wanarudisha leo lakini hadi hivi sasa sijasikia juu ya urudishwaji wa fom kwa mgombea wetu wa uraisi kupitia UKAWA hivyo mwenye kujua hili anijuze na aujuze umati wa watanzania.

Anarudisha leo saa 4 asubuh kamanda ucjal...ccm saa 3, chadema saa 4, act saa 6, n.k
 
Fomu zinarudishwa kiya kimya, kwa mujibu wa NEC
 
Kama ratiba ya nec inavyo onesha leo ndio mwisho wa kurudisha fom kuanzia udiwani,ubunge na urais na tayari makanda(wagombea kupitia UKAWA) wameisha rudisha kwa baadhi ya maeneo na wengine wanarudisha leo lakini hadi hivi sasa sijasikia juu ya urudishwaji wa fom kwa mgombea wetu wa uraisi kupitia UKAWA hivyo mwenye kujua hili anijuze na aujuze umati wa watanzania.

Hivi huwa hamna vibarua vya kufanya?
 
DSC01123.jpg
 
hivi Kova anapigaje marufuku kuzomea mtu? hivi huyu mzee mzima kweli huyu ?
 
Mgombea yuko kitandani hospital kachukue fomu yake wodini urudishe wewe
 
Ndugu zangu wana ccm tuonyeshe ukomavu hata katika kujibu hoja matusi hayajengi bali yanaonyesha wewe ni mtu wa aina gani.
 
Kama ratiba ya nec inavyo onesha leo ndio mwisho wa kurudisha fom kuanzia udiwani,ubunge na urais na tayari makanda(wagombea kupitia UKAWA) wameisha rudisha kwa baadhi ya maeneo na wengine wanarudisha leo lakini hadi hivi sasa sijasikia juu ya urudishwaji wa fom kwa mgombea wetu wa uraisi kupitia UKAWA hivyo mwenye kujua hili anijuze na aujuze umati wa watanzania.[/QU

Hujasikia mgombea wenu jana alianguka nyumbani kwake? Hagombei tena.
 
Tumewaachia panya watawale kwanza, tukiibuka huwa wanapotea bila taarifa.✌️
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom