upcoming billionare Member Joined Jun 16, 2016 Posts 68 Reaction score 39 Oct 2, 2016 #1 Wadau naulizia wapi wanauza mbegu bora za maharage ya njano kwa Mwanza na Dar es salaam, ahsanteni
M maiye JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,173 Reaction score 2,071 Oct 2, 2016 #2 Mungu aitimize haja ya moyo wako jina lako lisadifu hali utakayokuwa nayo. Amen Ngoja wanaojua pa kupata hiyo mbegu waje wakwambie
Mungu aitimize haja ya moyo wako jina lako lisadifu hali utakayokuwa nayo. Amen Ngoja wanaojua pa kupata hiyo mbegu waje wakwambie