mwanamilongo
Member
- Oct 11, 2015
- 48
- 4
Ndugu wanaJf nimepangiwa chuo cha Ruaha na ningependa kujua mazingira kwa ujumla ya Iringa na chuo cha Ruaha pia napenda mnijuze mahusiano ya watu wa Iringa na jamii nyingine.pia chuo kiko vipi naningependa kujua baadhi ya changamoto ambazo zinapaitana huko na jinsi ya zinatatuliwa hususani za kimaisha