MSAADA: maumivu ya tumbo!

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,772
23,160
habari jf doctors

naombeni ushauri tafadhali.

Nasumbuliwa na maumivu makali ya tumbo upande wa kulia mpaka karibia na kitovu, vikiambatana na kichefuchefu na kukosa hamu ya kula.

Nikaenda Tumaini hosptl kucheki wakaniambia sina kidole tumbo, figo, maini vipo okey hakuna tatizo. Lakini maumivu yanaendelea. Na wamenipa painkiller tu.

Naombeni ushauri inaweza kuwa ni nini? Au kuna daktari gani ambaye amespecialize na tumbo nikamuone?
 
Jaribu kuwa unakula kijiko kimoja cha Ufuta na habati sauda kwa kiingereza inaitwa (Nigella Sativa seed) kijiko kimoja changanya pamoja kula asubuhi kabla ya kula kitu na mchana na usiku kwa muda wa siku 3 kisha nipe Feedback. Au tumia Dawa ingine hii

Matatizo ya matumbo Tumia Asali
Safi Mbichi ambayo haijapikwa,ni muhimu kwa kuweka matumbo katika hali ya uafya, inasaidia kufanya digestion na kuepusha maradhi ya matumbo pia hupunguza hydrochloric acid ambayo husababisha kichefuchefu au kutapika pia husababisha kuumwa kwa moyo na pia hulainisha choo.
 
Back
Top Bottom